Ama kweli dunia ooh duniaOoh wake kwa waumeBaba ooh twasumbukaEnzi ya Adamu na EvaDunia ilikuwa nzuriEnzi ya Adamu na EvaDunia ilikuwa nzuri iyaahLakini dunia ya leoBila kuwa na pesaHakuna sauti mamaOoh kusikika iyaahIwe mwanamke au iwe mtotoIwe mzee kila mtu mawazo yake mikopoAah StellaSasa ninashangaa ninapoona duniaKila mtu yuko mbio kutafuta shilingiKila mtu yuko mbio kutafuta shilingi iyaaHata ukiona hapo *Mbindo anapohangaikaMawazo yake yote yako kwa shilingi iyaaUwe na sura nzuri baba ya kupendezaKama huna shilingi mambo yako ni bure iyaaMapenzi ya zamani yalikuwa ni bureZamani za kale mambo yalikuwa shwariLakini kisirani shilingi baba ikaharibuSasa hakuna cha bure dunia baba ni shilingi
Hata mtoto mchanga yule aliyezaliwa leoAnapolia mama eeh mama eeh mamaHebu tupa shling pale atakuonyesha pengoAma kweli shilingi ni sabuni ya rohoHata kama una mawazo shilingi itakusafisha rohoAah jamaniHata yule mnyama yule wa siku hiziHebu tupa shilingi pale pale baba atakuraruaIwe mzee wa miaka baba hamsiniBora awe na shilingi warembo watamwandamaNa wewe kijana utaachwa hapo hapo iyaaOoh jamani
Shilingi yaua ooh tena mauaShilingi yaua ooh tena mauaShilingi yaua ooh tena maua
Shilingi ni tamu baba usiidharauHiyo shilingi moja inaweza kuvunja mlimaHiyo shilingi moja inaweza ulale pakubwaUsidharau shilingi baba yauaMama ooh ooh
Katikati ya mapenzi bila shilingi ni bureWeye useme yote bila mapesa ni ngumuHata uwe na sura ya kupendeza baba ni ngumuBora uwe na shilingi mambo yako yatanyooka
Shilingi itakufanya weye baba uimbeTena shilingi itakufanya uwe ofisaHata ukiwa na miaka ishirini na tano babaPale pale utaitwa mzeePale pale utaitwa mzee wa shilingi
Shilingi yaua ooh tena mauaShilingi yaua ooh tena mauaShilingi yaua ooh tena maua yeeh
OohShilingi yaua ooh tena mauaShilingi yaua ooh tena mauaShilingi yaua ooh tena maua
Hakika shilingi ni kitu baba boraHiyo shilingi moja itakufanya baba usipande basiUsidharau shilingi baba yang’araKatikati ya roho binadamu baba yang’ara iyee
Shilingi yaua ooh tena mauaShilingi yaua ooh tena mauaShilingi yaua ooh tena maua eeh
Ukitaka chochote dunia baba ni shilingiUkiwa na mpenzi wako ooh maneno tupuHayavunji mfupi wewe bwaga shilingi mezani
Mambo yafike magumu hayapitikiKati ya mapenzi hata useme mazuriLakini ukiona mwanamke anapita vile na vileWeye toa shilingi juu weye utakubaliwa sana
Shilingi yaua ooh tena mauaShilingi yaua ooh tena mauaShilingi yaua ooh tena maua iyaah aah
Keep it locked at www.jabulaniradio.com
By Papa Juma
Your Home of African Tunes
MP3 128 Kbps
AAC 64 Kbps
MP3 192 Kbps
Friendly Link
Advertise here: Marketing@jabulaniradio.com
"Advertise Smarter with Jabulani Radio"
Reach global and local audiences with Jabulani Radio. Using modern tech, we offer customized advertising solutions that fit your needs.
"Grow with Us"
Leverage multiple social media platforms with hundreds of thousands of followers. Brand your product with our proven technology and watch your business thrive. The world is changing—advertise smarter with Jabulani Radio.